Romans 3:23-25

23 akwa kuwa wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu, 24 bwanahesabiwa haki bure kwa neema yake kwa njia ya ukombozi ulio katika Al-Masihi Isa. 25 cYeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.
Copyright information for SwhKC